Jarida la Hatua Mbele
Ni jukwaa la maendeleo mahsusi kwa ajili ya kuonesha juhudi za maendeleo zinazofanywa na wadau wa maendeleo nchini ikiwamo serikali, mashirika, makampuni na wananchi kwa ujumla. Ni jarida linalochochea hamasa kubwa ya maendeleo kwa kuonesha na kuyasherekehekea mafanikio yetu kwa kuienzi kila hatua mbele inayopigwa.